Featured
Loading...

DUNIA IMEKWISHAA MWANAMUZIKI WA INJILI AACHIA TENA PICHA YA UCHI TAZAMA HAPA...

Sasa nimeamini Shetani ana nguvu kubwa na roho ya ushawishi kuliko kiumbe kingine chochote cha duniani...kweli yuko kazini! Hivi unapata taswira gani unaposikia kuwa eti Rose Muhando au Bahati Bukuku anapiga picha za uchi? Ni kweli inashtua sana, na hii imetokea huko Nigeria ambaho mwanamuziki wa muziki wa dini Maheeda amedhihirisha kukamatwa hasa na pepo mchafu baada ya kuendelea kufyatua picha za uchi kila uchao!!!!!!!!!!!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top