Featured
Loading...

Angalia jinsi Raisi Obama alivyozua balaa lingine, kawatoroka walinzi na kufwata burger..noma sana.

obama-burger_oct27
Raisi wa marekani Barak Obama kwa mara nyingine, ametokea kuvunja sheria zake za kama raisi na kujichanganya na wananchi wa kawaida kama ilvyo tabia yake, hivyo kutokea kuwapa shida walinzi wake. Barack Obama aliwatoroka walinzi wake na kwenda kununua burger katika moja ya migahawa inayotumika na wananchi wa kawaida, tukio hilo lilizua uwepo mkubwa wa ulinzi kwa muda mchache tu..ikiwa hii ni mara ya pili kwa tukio kama hilo kutokea…angalia kipande hiki cha video kikionyesha tukio zima.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top