Featured
Loading...

BREAKING NEWS; Muigizaji Maarufu Tanzania Mzee Small, Amefariki Dunia



Muigizaji maarufu Tanzania Mzee Small, amefariki dunia. Chanzo cha taarifa hizi ni Mtoto wake wa kiume Mahmudu (Mongamba) ambae amenipigia simu sasa hivi muda ni saa 7 usiku.
Anasema Baba yake alipelekwa hospitali ya Muhimbili Jumamosi Tar 7 yani jana, muda wa saa mbili asubuhi baada ya kuzidiwa.
Ameeleza kwamba alishinda nae kutwa nzima ila ilivofika saa 4:09 usiku akafariki akiwa mikononi mwake.
Mzee small alikua anasumbuliwa na tatizo la kupooza kwa muda mrefu

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top