Featured
Loading...

HABARI‬ MSANII H.BABA AUGUA GHAFLA NA KULAZWA!


Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Hamis Baba (H. Baba) ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades, Kinondoni, Dar siku ya jana.
Kwa sasa amelazwa hospitalini, tutaendelea kukujulisha hali yake!
'Get well soon H. Baba'.
#HABARI MSANII H.BABA AUGUA GHAFLA NA KULAZWA!  Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Hamis Baba (H. Baba) ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades, Kinondoni, Dar siku ya jana.  Kwa sasa amelazwa hospitalini, tutaendelea kukujulisha hali yake!  'Get well soon H. Baba'.
HAFLA NA KULAZWA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top