Featured
Loading...

KWELI MAISHA YAMEKABA... POLISI FEKI WAKAMATWA! ona picha hapa



Brazil Nyakunga (kulia) ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehale (mwenye shati la kitenge), wamekamatwa mkoani Iringa, kwa kufanya utapeli, wakijidai wao ni Askari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amesema maaskari hao feki, wamekuwa wakiwatapeli wakazi wa Mikoa ya Morogoro, Iringa na maeneo ya jirani.
#HABARI POLISI FEKI WAKAMATWA!  Brazil Nyakunga (kulia) ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehale (mwenye shati la kitenge), wamekamatwa mkoani Iringa, kwa kufanya utapeli, wakijidai wao ni Askari.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amesema maaskari hao feki, wamekuwa wakiwatapeli wakazi wa Mikoa ya Morogoro, Iringa na maeneo ya jirani.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top