Featured
Loading...

MAHABA NIUE:Jionee Shilole Anacho Mfanyia Mpenzi Wake




Mwanamama SHILOLE KIUNO ameonekana akimfanyia kitu ambacho watu wengi wamehisi ni MAHABA NIUE kwa mpenzi wake ambae inasemekana ni KIJANA mdogo kiumri ukimlinganisha na SHISHI BEBI, Anaitwa MZIWANDA (nadhani ni msanii .....nikimsikia XXL).
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanamama huyo ambae kwasasa anatamba na SONGI la CHUNA BUZI (kazi kweli kweli) aliweka picha amabayo inaonyesha akivalishwa VIATU na Mpenzi wake na kuandia "Kupendwa Rahaa" 
Kama kawa Followers wake wakaanza KUKOMENTI...Trend ya comments nyingi zilionyesha kuunga mkono kitendo hicho.....Sasa ni zamu yako mdau ....Sema chochote hapa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top