Featured
Loading...

MEONA NGUO HII ALIYOVAA RIHANA????? NI KWA WALE WENYE MIAKA 18 NA ZAIDI NDO MNARUHUSIWA KUCHEKI




Rihanna amewahi kuacha gumzo mara nyingi kutokana na picha zake zinazosambaa mtandaoni. Mara nyingine tena picha za Rihanna ndio zinakuwa picha zinazoangaliwa sana hivi sasa kwenye mtandao.
Picha hizi amepiga akiwa kwenye red carpet ya CFDA Fashion Awards huko New York.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top