Mauji ya kutisha yametokea Arusha asubuhi hii baada ya majambazi kumpiga risasi mtu mmoja aliyekuwa akimsadia mwanamke mmoja aliyekuwa anaingia Northern Bureaude Change na mfuko wa hela , Jamaa inasemekana ni mpita njia aliyekuwa anaenda kanisani baada ya kuona majambazi wanamvamia Mwanamke aliamua kumsaidia na jambazi mmoja aliyekuwa kwenye pikipiki aina ya Boxer akampiga risasi na kutokomea na hela.
Sunday, 1 June 2014
Post a Comment