Featured
Loading...

PICHA 6 MABANDA YA WAMACHINGA SOKO LA KARUME YANAWAKA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO,

 
:

Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Habari zaidi zitafuata. Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana.
Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa.
Nguzo za umeme zinaungua pia.
Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top