
Tunasema wadogo daima hirithi kwa wakubwa. Lakini wadogo huwa hatari zaidi maana wao hukopi na kuongezea hatua flani kidogo.
Tumezoea kumwona Diva akianika mapaja, tumbo, vitovu na sehemu zingine japo ni ngumu sana kwake kuvua. Lakini kwa mdogo wake kaongeza kidogo kumpita Diva. Mtazame chini hapa

Post a Comment