
Kwenye usiku huu Vodacom Tanzania imetoa jumla ya milioni mia mbili sitini na mbili (262,000,000) kwa washindi wote ligi kuu.
Kocha bora msimu wa 2013/2014 ni Juma Mwambusi wa Mbeya City FC, golkipa bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Hussein Sharifu wa Mtibwa Sugar anapata zawadi ya Tsh 5,200,000 na tuzo.
Mchezaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Kipre Tchetche wa
Mwamuzi bora msimu wa 2013/2014 ni Israel Mjuni ambapo timu yenye nidhamu msimu wa mwaka 2013/2014 ni Yanga ambayo imezawadiwa Tsh 16M.
Post a Comment