Featured
Loading...

WOLPER AWEKA KILA KITUUU KATI YAKE YEYE NA NEY WA MITEGO


Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop , Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai hajawahi kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana wala source.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top