WEMA AMKOMALIA DIAMOND NA YEYE AWEPO KWENYE TUZO ZA BET

Kiwaluwalu hicho amekionyesha hapo jana kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM...baada ya kuweka picha ya
ndungu zake walioko Marekani na kusema amewakumbuka sana ila hivi karibuni wataonana kwani tuzo za BET zimekaribia. ISHU NZIMA You two are reeeeeaaaally missed... But BET is jus around da corner... Ama see you guys soon... I love you dada
Post a Comment