Featured
Loading...

HIVI USHAJIULIZA KWA NINI MABINTI WAKITANGA WANAGOMBANIWA..

Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale ...Najiuliza Hivi Mabinti wa Kitanga wana nini ? Huku Mtaani kwetu wanagombaniwa kama Njungu.....Tufahamisheni jamani Wanaojua

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top