Featured
Loading...

AY LEO AMSOMEA RAISI JK MBELE YAKE HII BARUA....ONA

Katika moja ya harakati za organization iitwayo ONE ni kutokomeza umaskini uliokithiri barani Afrika  na inafanya hivyo kwenye sekta ya kilimo. AY ni mmoja wa mabalozi wa organization hiyo na leo amewasilisha kwa raisi Jakaya kikwete mapendekezo kutoka kwa wakulima wenyewe jinsi wanavyoitaji msaada ili kujikwamua kiuchumi. Hafla  hii imefanyika katika hoteli ya Double Tree , Masaki ambapo AY aliweza kuwasilisha hoja zote wazi kabisa mbele ya raisi na vyombo vya habari.
AY-Do-agric-Campaign
Balozi mwingine kutoka tanzania wa organization ya One ni mkali Diamond Platnumz ambaye hakuweza kuwepo kutokana na kua nchini Afrika Kusini kikazi akifanya collabo na mafikizolo. Ukiachana na Diamond pia Professor J na Mrisho mpoto nao ni wadau wa organization hii…
AY-Professor-J-Do-agric-Campaign

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top