Featured
Loading...

KIMENUKA:BINTI ALIYEPIGA PICHA CHAFU NA JOHN KOMBA AIBUKA NA KUNENA MAZITO...ONA HII


Nimeyapata mahojiano aliyoyafanya Angel na waandishi wa habari, huyu Angel ndiye mwanamke aliyepiga picha chafu na mh. Captain John Komba na baadaye kusambaa mitandaoni. Angel  aliweka wazi mambo yake kuhusu picha hizo kama ifuatavyo:
“Mimi nataka kusema kwamba picha nimeziona, nazifahamu kweli ni mimi.”
Paparazi: “Ni kweli ulipigwa ukiwa na mheshimiwa Komba?”
Angel: “We jua tu kwamba picha nazijua. Zilipigwa na simu ya LG.”
Paparazi: “Alipiga nani?”
Angel: “Nimesema nazifahamu.”
Paparazi: “Hiyo simu ni ya nani?”
Angel: “We wa nini?”
Paparazi: “Okey, mheshimiwa Komba unamfahamu?”
Angel: “Namfahamu ndiyo.”
Paparazi: “Ni nani wako?”
Angel: “Nimekwambia namfahamu.”
Paparazi: “Sasa mbona mheshimiwa Komba anasema picha zimetengenezwa?”
Angel: “Mimi sijui sasa.”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top