Featured
Loading...

diamond azidi kutoa shukrani kwa mashabiki wake....kwenye tuzo za BET

Bila shaka mu wazima nyote..
Nizidi kuwashukuru watanzania wenzangu na mashabiki wangu wote kokote Duniani kwa sapoti kubwa mnayonipa, hususani kwenye michakato ya kuvote kwenye Tuzo ninazowania,leo napenda niwape ama niwakumbushe jinsi ya kuniwezesha nishinde ,tuzo kubwa kabisa Duniani ya BET..
Tafuta BET AWARDS like hiyo page then kwa kila post inayonihusu ama post yoyote wanayoweka ,we coment kwa kumention Jina langu Diamond Platnumz ... Pia click link hii chini then coment kwa kumention jina langu
https://www.facebook.com/TheBETAwards/photos/a.93533534412.84145.13249279412/10152443375924413/?type=3&theater

NA HII LINK CHINI ,COMENT KWA KUMENTION JINA LANGU NA NYIMBO YANGU UIPENDAYO
https://www.facebook.com/TheBETAwards/photos/a.93533534412.84145.13249279412/10152471402124413/?type=1&theater
KWA PAMOJA TUUNGANE,HESHIMA IJE TANZANIA ..NAWAPENDA NYOTE.

AFRICA STAND UP!!!  Out of the 6 artists nominated for "Best International Act: Africa" who do you want to win? -->  http://bet.us/RQuc0n  COMMENT below with your favorite song from the person you're rooting for

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright entertainment | Designed By Code Nirvana
Back To Top